Nenda kwa yaliyomo

Ratili : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sco:Pund
d roboti Nyongeza: la:Libra pondus
Mstari 37: Mstari 37:
[[ko:파운드 (질량)]]
[[ko:파운드 (질량)]]
[[ksh:Pongk]]
[[ksh:Pongk]]
[[la:Libra pondus]]
[[lb:Pond]]
[[lb:Pond]]
[[lt:Svaras]]
[[lt:Svaras]]

Pitio la 11:12, 19 Aprili 2010

Ratili (pia: ratli - kutoka kiar. رطل ratl) ni kipimo cha masi cha kihistoria cha takriban nusu kilogramu au 500 g.

Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili si kipimo sanifu cha kisasa.

Inalingana na "pauni" (pound) ya Ulaya.

Marejeo