Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ahmad bin Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Ahmad bin Ali

Uwanja wa michezo wa Ahmad bin Ali (kwa Kiarabu: ملعب أحمد بن علي; maarufu kama uwanja wa Al-Rayyan) ni uwanja wenye matumizi mbalimbali huko Al Rayyan, nchini Qatar, Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Al-Rayyan na Al-Khaitiyath. Uwanja huu wa michezo ulipewa jina la Ahmad bin Ali Al Thani, Amiri wa Qatar kuanzia mwaka 1960 hadi 1972.[1][2]

Uwanja huu wa zamani, ulijengwa mwaka 2003, ulikuwa na uwezo wa kuchukua watu 21,282 na ulibomolewa mwaka 2015. [3]Uwanja mpya wa Al Rayyan una uwezo wa kubeba watu 40,740. Ni uwanja utakao tumika kwenye michuano ya kombe la dunia la FIFA 2022.


  1. "Ahmad Bin Ali Stadium". Supreme Committee for Delivery & Legacy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-31. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2022. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ahmad bin Ali Stadium". FIFA. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Qatar inaugurates fourth stadium for the 2022 World Cup in Al Rayyan". Goal. 18 Desemba 2020. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ahmad bin Ali kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.